HUDUMA ZETU:

FILM PRODUCTION:
Good Tribe Studios moja kwa moja tunajihusisha na utayarishaji na  utengenezaji wa filamu mbalimbali zenye kuelimisha jamii na kuburudisha jamii kwa pamoja bila kubagua rika, jinsia wala kipato. Tunawaandishi wazuri wa filamu, waongozaji wazuri na vifaa vya kusimamia production iliyo katika ubora. Wasiliana nasi kwa mahitaji yeyote yanayohusu Film production. Taarifa zaidi RUDI UKURASA MKUU.


ADVERTISING & PROMOTIONS:
Good Tribe Studios pia tunaandaa matangazo mbalimbali ya TV na Radio na kuyasambaza katika radio mbalimbali kwa niaba ya mteja. Matangazo yetu ni ya kisasa na yapo katika ubora wa kumtosheleza mteja. Tunashulika pia na aina zote za promotions, kuanzia mass promotions, one to one promotions and door to door promotions. Taarifa zaidi RUDI UKURASA MKUU.


EVENTS SHOOTING:
Kitengo hiki cha Good Tribe Studios kinahusika na upigaji picha sio tu kwa watu wazima bali hata za watoto, kuanzia mtoto anazaliwa hadi anakua mkubwa. Tuna andaa video pia, album picha, CD's na kuprint aina mbalimbali za picha. Huduma hii inaweza kufanyika nyumbani au sehemu yoyote yenye mandhari mazuri ya kuvutia kwa kumbukumbu yako na mtoto wenu. Tunao wapiga picha wazuri na wenye uwezo mkubwa. Wasiliana nasi.RUDI UKURASA MKUU.

Huduma hii ni maalumu pia kwa ajili ya Videoshoot na Photoshoot katika matukio mbali mbali ya kijamii, kiofisi na kiserikali hapa ni matukio kama office party, harusi, Kitchen party, na event ya aina yeyote inayoendana na hizo. Taarifa zaidi, RUDI UKURASA MKUU.

2 comments:

Unknown said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Unknown said...

we thank you for the comment @saramoses

Post a Comment

 

Total Pageviews